Jarida 02 Agosti 2022 na Assumpta Massoi- YALI Hussein Melele, Catherine Shembilu na Suzan Yumbe by UN News Kiswahili published on 2022-08-02T15:15:31Z Hii leo kwenye jarida likiletwa kwako na Assumpta Massoi:Habari kwa Ufupi: Uzinduzi wa ubia wa kimataifa kuhakikisha watoto wachanga wanapata matibabu dhidi ya Virusi vya Ukimwi, kisha UNHCR huko DRC inaweza kusitisha mgao wa kimkakati kwa wakimbizi kutokana na ukata na hatimaye ni WHO yazindua ombi la takribani dola milioni 124 kusaidia changamoto za njaa na afya kwenye pembe ya Afrika. Mashinani tunabisha hodi Yemen kwenye kambi ya wakimbizi ambayo hali yake ni taaban. Karibu! Genre News & Politics