published on
[Chorus]
Nipo hai,
Tena najidai,
Ninasherekea uhai kama bethedei.
Tupo kati,
Tena twajidai,
Tunasherekea uhai kama bethidei.
Nipo hai,
Tena najidai,
Ninasherekea uhai kama bethedei.
Tupo kati,
Tena twajidai,
Tunakusanya raha (na furaha)
Na wanangu tuna (furaha)
Nipo na wenzangu tuna (kula raha)
Na wanangu tuna (turn up, now)
Nipo na wenzangu tuna (furaha)
Na wanangu tuna (furaha)
Nipo na wenzangu tuna (turn up, now)
Na wanangu tuna (furaha sana)
[Verse]
Nipo na mabinti,
Nipo with my dawgs.
Kunywa maji mengi,
It's a water fall.
Ukinikuta nywii,
Make another call,
Ita chupa nyingi,
It's a water fall.
Cause WeOutchea to ball,
Ye, I'm chillin' with my owns,
Nimeng'aa bila madini,
Nimewaka bila taa.
Yeah WeOutchea to ball,
Ye, I'm spendin' with my owns,
Tumeng'aa bila madini,
Tumewaka bila taa. (Aw-yeah)
Ruka ruka.
Klabu limeshona, tunavuruga.
Tunakula bata tu.
Hata kama sio wako, daka tu.
Wa, wa, wa.
Ruka ruka,
Nipo na majita, tunavuruga.
Tunakula raha tu,
Twende mpaka chini, we kata tu.
Ya, ya, ya.
[Chorus]
Nipo hai,
Tena najidai,
Ninasherekea uhai kama bethedei.
Tupo kati,
Tena twajidai,
Tunasherekea uhai kama bethidei.
Nipo hai,
Tena najidai,
Ninasherekea uhai kama bethedei.
Tupo kati,
Tena twajidai,
Tunakusanya raha (na furaha)
Na wanangu tuna (furaha)
Nipo na wenzangu tuna (kula raha)
Na wanangu tuna (turn up, now)
Nipo na wenzangu tuna (furaha)
Na wanangu tuna (furaha)
Nipo na wenzangu tuna (turn up, now)
Na wanangu tuna (furaha sana)
[Verse]
Ishi kama ni ndoto,
Vile vile ilivyo,
Kama kurwa na doto,
Simenti na kokoto
Nishawaza kufa,
Nilitaka kukata roho,
Nikakata rufaa
Nikitetea ya moyo
Kutwa na mabibi,
Wananipenda mimi,
Nitaishi maisha yangu kabla arubaini
Tukiacha umaskini, tunafwata furaha
Nipo mbali na dini, ila sijajaza laana
Ruka ruka,
nipo na masela tunavuruga.
Tunakula raha tu,
mpaka kumekucha ni bata tu
Wa, wa, wa.
Ruka ruka,
tupo na mabinti tunavuruga.
Tunakula raha tu,
twende wote kati, we kata tu
Ya, ya, ya.
[Chorus]
Nipo hai,
Tena najidai,
Ninasherekea uhai kama bethedei.
Tupo kati,
Tena twajidai,
Tunasherekea uhai kama bethidei.
Nipo hai,
Tena najidai,
Ninasherekea uhai kama bethedei.
Tupo kati,
Tena twajidai,
Tunakusanya raha (na furaha)
Na wanangu tuna (furaha)
Nipo na wenzangu tuna (kula raha)
Na wanangu tuna (turn up, now)
Nipo na wenzangu tuna (furaha)
Na wanangu tuna (furaha)
Nipo na wenzangu tuna (turn up, now)
Na wanangu tuna (furaha sana)