UN News Kiswahili Habari za UN New York Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa inatangaza habari kila siku kwa lugha ya Kiswahili, Kiarabu, Kichina, Kiingereza, Kifaransa, Kireno, Kirusi na Kihispania. Na mara moja kwa wiki inakuwa na vipindi vya lugha ya French Creole, Kibengal, Kihindi, Urdu na kiindonesia. Radio ya UM inabadilisha taarifa zake kutokan na habari mpya zinavyokuja kila mara kwa siku. Pia inaandaa makala na kufanya uchambuzi wa mada mbalimbali za kijamii, kisiasa, kiuchumi, maendeleo na masuala yanayohusu tamaduni yanyohusisha Umoja wa Mataifa na kazi zake. Vipindi vya Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa au UNNews viko vingi na ni kuanzia habari, makala, vipindi maalumu na taarifa za habari za kila siku na zile za kila wiki. Na vipindi vyote hivyo vinaweza kutumiwa na vyombo vingine vya habari au watangazaji, na vinaweza kutumiwa kama chanzo cha habari kwa waandishi. binafsi.Na kwa kuongezea tuu ni kwamba vipindi vyote hivyo na sauti zingine kwenye tovuti yetu vinatolewa bure bila malipo yoyote. Unaweza pia kujisajli kwenye ukurasa wetu ili upokee taarifa kila wakati zinapochapishwa. Kwa uchaguzi zaidi wa ushirikiano usisite kuwasilina nasi. UN News Kiswahili’s tracks JARIDA LA HABARI ZA UN 07 MEI 2024 NA ASSUMPTA MASSOI by UN News Kiswahili published on 2024-05-07T14:47:16Z Makala: UNHCR inawasaidia wakimbizi dhidi ya mafuriko Afrika Mashariki by UN News Kiswahili published on 2024-05-06T17:26:27Z JARIDA LA HABARI ZA UN 06 MEI 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-05-06T15:05:53Z Wanahabari waweka maisha yao rehani kuripoti masuala ya mazingira by UN News Kiswahili published on 2024-05-03T15:26:38Z JARIDA LA HABARI ZA UN 03 MEI 2024 NA ASSUMPTA MASSOI by UN News Kiswahili published on 2024-05-03T14:49:15Z Jifunze Kiswahili: Totauti ya matumizi ya maneno "ELEKEZA NA ELEZA" by UN News Kiswahili published on 2024-05-02T14:55:52Z JARIDA LA HABARI ZA UN O2 MEI 2024 NA ASSUMPTA MASSOI by UN News Kiswahili published on 2024-05-02T14:55:35Z Mabadiliko ya tabianchi yamefanya urembo wa Kimaasai Kenya kuwa mbadala wa kujikimu kimaisha by UN News Kiswahili published on 2024-05-01T15:28:04Z JARIDA LA HABARI ZA UN 01 MEI 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-05-01T15:12:49Z JARIDA LA HABARI ZA UN 30 APRILI 2024 NA ASSUMPTA MASSOI by UN News Kiswahili published on 2024-04-30T14:56:21Z
JARIDA LA HABARI ZA UN 07 MEI 2024 NA ASSUMPTA MASSOI by UN News Kiswahili published on 2024-05-07T14:47:16Z
Makala: UNHCR inawasaidia wakimbizi dhidi ya mafuriko Afrika Mashariki by UN News Kiswahili published on 2024-05-06T17:26:27Z
JARIDA LA HABARI ZA UN 06 MEI 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-05-06T15:05:53Z
Wanahabari waweka maisha yao rehani kuripoti masuala ya mazingira by UN News Kiswahili published on 2024-05-03T15:26:38Z
JARIDA LA HABARI ZA UN 03 MEI 2024 NA ASSUMPTA MASSOI by UN News Kiswahili published on 2024-05-03T14:49:15Z
Jifunze Kiswahili: Totauti ya matumizi ya maneno "ELEKEZA NA ELEZA" by UN News Kiswahili published on 2024-05-02T14:55:52Z
JARIDA LA HABARI ZA UN O2 MEI 2024 NA ASSUMPTA MASSOI by UN News Kiswahili published on 2024-05-02T14:55:35Z
Mabadiliko ya tabianchi yamefanya urembo wa Kimaasai Kenya kuwa mbadala wa kujikimu kimaisha by UN News Kiswahili published on 2024-05-01T15:28:04Z
JARIDA LA HABARI ZA UN 01 MEI 2024 NA ANOLD KAYANDA by UN News Kiswahili published on 2024-05-01T15:12:49Z
JARIDA LA HABARI ZA UN 30 APRILI 2024 NA ASSUMPTA MASSOI by UN News Kiswahili published on 2024-04-30T14:56:21Z