JARIDA LA UMOJA WA MATAIFA 06 JUNI 2022 NA LEAH MUSHI by UN News Kiswahili published on 2022-06-06T15:51:14Z Karibu kusikiliza jarida ambapo miongoni mwa utakayo sikia hii leo ni pamoja na kuanza kwa mkutano wa kimataifa wa Maendeleo ya Mawasiliano mjini Kigali nchini Rwanda. Utasikia pia umuhimu wa bahari, makala ya usalama wa chakula na jinsi mwananchi alivyohama kutoka ukulima hadi ufugaji kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Genre News & Politics