JARIDA LA HABARI ZA UN 07-12-23 NA LEAH MUSHI by UN News Kiswahili published on 2023-12-07T16:37:36Z Hii leo kwenye jarida Leah Mushi anakuletea Habari kwa Ufupi ikiangazia Tanzania, janga la chakula Afrika na Mkutano wa UN na wanazuoni. Katika Mada kwa Kina tunamulika mshindi wa Tuzo ya UN ya Haki za Binadamu Julienne Lusenge kutoka DRC na Jifunze Kiswahili maana ya neno, Kifandugu. Genre News & Politics