JARIDA LA UMOJA WA MATAIFA TAREHE 26 NOVEMBA 2021 NA FLORA NDUCHA by UN News Kiswahili published on 2021-11-26T14:49:30Z karibu kusikiliza jarida ambapo leo tunabisha hodi Dubai kwenye maenesho ya kimataifa Expo2020 katika banda la Kenya kusikia kinachojiri huko na umuhimu wa Kenya kushiriki maonesho hayo. Pia utapata fursa ya kusikia habari kwa ufupi zinazogusia mapigano huo Ethiopia na Sudan pamoja na upimaji binafsi wa VVU. Genre News & Politics