Jaridan na Assumpta Massoi 16-09-2021 by UN News Kiswahili published on 2021-09-16T17:33:55Z Katika jarida hii leo utasikia Umoja wa Mataifa umetengeneza darasa maalum katika Makao Makuu yake yaliyoko jijini New York Marekani na kuweka madawati na saa inayoonesha muda ambao wanafunzi wameshindwa kuingia darasani kutokana na janga la ugonjwa wa Corona, COVID-19. Pia utasikia kuhusu haki za binadamu nchini Burundi. Ungana na Assumpta Massoi kusikiliza habari zote kwa undani Genre News & Politics