Makala: Mradi wa Play2Protect unanisaidia kuondoa msongo wa mawazo na kuniepusha na wadanganyifu by UN News Kiswahili published on 2022-12-30T16:18:00Z Sports for Protection ni mbinu ya kutumia michezo kwa ajili ya kusaidia maendeleo na ulinzi wa vijana waliofurushwa au walioko ukimbizini ni mkakati ulioanzishwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR kwa kushirikiana na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki na sasa unatekelezwa na mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa kama la idadi ya watu duniani na masuala ya afya ya uzazi UNFPA Kenya kwa kushirikiana na tasisi nyingine za kitaifa na kimataifa. Selina Jerobon wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa anasimulia zaidi kupitia makala hii. Genre News & Politics