Msemo: FANYA ILHAM, Onni Sigalla by UN News Kiswahili published on 2023-01-05T15:08:17Z Katika kujifunza Kiswahili leo mtaalam wetu Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , anatufafanulia maana ya msemo "FANYA ILHAM", karibu!