New Recording 47 by UN News Kiswahili published on 2021-11-30T17:06:15Z Katika makala hii leo tunajiunga na mwandishi wetu wa Kenya Jason Nyakundi akizungumza na Rebecca Laibich, kijana mwenye umri wa miaka 25 mwanaharakati wa kuhifadhi mazingira nchini Kenya na mfanyakazi wa kujitolea wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO, ambaye amejitwika jukumu la kuwafunza vijana wenzie kuhusu umuhimu na njia za kutunza mazingira. Genre News & Politics