Kipindi Maalum: Ramadhan 2024 G/1445 H - 1 by Pemba Live Radio published on 2024-03-17T12:24:38Z Kipindi maalum cha Ramadhani ambacho kinajikita kutembelea madrasa mbali mbali ili kuona changamoto, fursa wanazozikabilwa kama madrasa. Kipindi hiki kimeandaliwa na Fatma Hamad Faki Kudhaminiwa na taasisi ya Shaibu Foundation. Genre Religion & Spirituality